img
Chama cha Ushirika cha Akiba Na Mikopo Mpui (MPUI SACCOS LIMITED) Chenye Usajili Namba RKR 358 ambacho kilianzishwa mwaka 2003 na kupata usajili rasmi Tarehe. 31.05.2004 chini ya Sheria ya Vyama Vya Ushirika- Tanzania. Ushirika wa Mpui unajumuisha wanachama wakulima ambao ulima mazao kama Mahindi, Maharage na Alizeti na mazao mengine. Kuanzia mwaka 2016 hadi sasa Ushirika wa Mpui umejikita katika shughuli za kilimo kama;-i. Kutoa Mafunzo ya Ugani, ii. Mafunzo ya usimamizi wa uvunaji na uhifadhi salama, iii. Utafutaji wa Masoko na Pembejeo iv. Ukusanyaji wa mazao na menginyo.

4 Jobs Found

Mpui Savings And Credit Co-operative Society Limited

Project Agronomist Trainee

Apr 23rd, 2022 at 14:54   Other   Sumbawanga Full-time   200,000  -  400,000 per month
Chama cha Ushirika cha Akiba Na Mikopo Mpui (MPUI SACCOS LIMITED) Chenye Usajili Namba RKR 358 ambacho kilianzishwa mwaka 2003 na kupata usajili rasmi Tarehe. 31.05.2004 chini ya S...
Mpui Savings And Credit Co-operative Society Limited

Project Accountant Trainee

Apr 23rd, 2022 at 14:53   Other   Sumbawanga Full-time   200,000  -  400,000 per month
Chama cha Ushirika cha Akiba Na Mikopo Mpui (MPUI SACCOS LIMITED) Chenye Usajili Namba RKR 358 ambacho kilianzishwa mwaka 2003 na kupata usajili rasmi Tarehe. 31.05.2004 chini ya S...
Mpui Savings And Credit Co-operative Society Limited

Project Agronomist

Apr 23rd, 2022 at 14:51   Other   Sumbawanga Full-time   900,000  -  100,000 per month
Chama cha Ushirika cha Akiba Na Mikopo Mpui (MPUI SACCOS LIMITED) Chenye Usajili Namba RKR 358 ambacho kilianzishwa mwaka 2003 na kupata usajili rasmi Tarehe. 31.05.2004 chini ya S...
Mpui Savings And Credit Co-operative Society Limited

Project Accountant

Apr 23rd, 2022 at 14:49   Other   Sumbawanga Full-time   900,000 per month
MPUI SACCOS LTD imekuwa kinafanya kazi na wadau mbalimbali walio kwenye mnyororo wa kilimo kama Taasisi za Kifedha (MFI/FI), Taasisi zisizo za kiserikali (NGOs), Kampuni za pembejo...